“Yaani paka wangu wameshampa mimba sasa hivi, mimi mama yake sina mimba, lakini yeye amepata mimba, kwa nini? Amenidhalilisha sana, ninaonekana mama gani mimi ambaye sijui kulea,” - amesema Zuchu mrembo mwenye mvuto wake anayetajwa kuwa penzini na Diamond
Zuchu Ateswa na Kutopata Ujauzito, Alaumu Paka Wake Kupata Ujauzito Kabla yake
0
October 06, 2022
Tags