Ajali Basi la Arusha Express Yaua Watano



Watu hao wamepoteza Maisha papo hapo huku wengine wakijeruhiwa baada ya Basi kugongana uso kwa uso na Lori, Novemba 13, 2022 eneo la Veyula, Makutupora

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amesema bado wanafuatilia chanzo cha Ajali na athari zaidi zilizotokana na Basi hilo lilikuwa linatoka Arusha kwenda Mbeya. Lori ni Mali ya Kampuni ya Ujenzi ya China Hydropower.
-
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad