Breaking : Neege ya Precision Air Yaanguka Ziwani Bukoba



Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022

Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoaji wa abiria unaendelea

Kwa mujibu wa mashuhuda, hali ya hewa ilikuwa mbaya huku kukiwa na mvua na ukungu uwanjani hapo

Taarifa kwa kina zinafuata

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad