Burnaboy Amchana Aliyekuwa Girlfriend Wake "Move on Achana na Mimi"


“MOVE ON” ni maneno mawili pekee aliyo yaandika #burnaboy kwenye Insta Story yake mchana wa leo November 11, na hii ni baada ya Tik Tok's Video Clip aliyoifanya Ex wake, #stefflondon ikimuonyesha anacheza huku clip hiyo, ikiwa na Caption inayo someka “when he's a MAN and not a mummy's boy”

Haijulikani wimbo una maana gani hasa, ila Kwenye hili, Burna Boy amesimama upande wa mtoto wa Mama, anaye amuliwa kila kitu cha kufanya na Mama yake mzazi ambaye pia ni Meneja wake kwenye muziki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad