Diamond na Sallam Sk wamezinguana?? kwanini amepost hivi


Ni muda sasa ukaribu wa msanii na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz kuonekana karibu na meneja wake Sallam SK hata kwenye matukio mengi ambayo Diamond ameyafanya na pia show za nje Diamond anaenda mwenyewe bila Sallam Sk kitu ambacho sio cha kawaida kama tulivyozoea kuwaona.


Ukianzia Show ya Diamond aliyoenda kuifanya Kenya kwenye kampeni za Raila Odinga na ukiangalia kwenye page ya Diamond mara ya mwisho kuonekana yupo na Sallam Sk ilikuwa post ya July 19 na hata kwenye page ya Sallam post zake zimepungua sana akiwa na Diamond.


Kingine hata project zote za WCB ikiwemo EP ya Mbosso na hata tukio la Wasafi media Sallam hakuonekana kitu ambacho sio cha kawaida, ukienda kwenye bio ya Sallam Sk pia ameondoa taarifa zote zinamhusu yeye na Diamond.


Unahisi kuna usalama kweli ? au ukaribu wa Sallam na Diamond bado upo kama zamani??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad