H Baba Afunguka Kusainiwa WCB yeye na Baba Levo


Msanii H baba Amefunguka Kuwa Yeye Na Msanii @officialbabalevo Ndio Wasanii Wanaofuata Kusainiwa Katika Label Ya Muziki Ya #WcbWasafi Ameeleza Haya Kupitia Kipindi Cha #FNL Cha EATV

"Kuhusu Kutoka Wimbo Mpya Nasubiri #SIMBA Akisema, Na Nikupe Tu Za Ndani Mimi Na #BABALEVO Ndio Wasanii Tunakuwa Wasanii Wapya Wa #WcbWasafi.'' Amesema #HBABA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad