Kuhsu sakata hili la Angella , Mwaimbaji Harmonize amewanyoshea kidole machawa akisema kuwa wanamuongelea vibaya yeye kuhusu kumuacha Mwanamuziki Angella
Harmonize ameenda mbali zaidi alisema kuwa hao machawa kuna watu wanawalipa ili wamseme vibaya yeye bila kuangalia juhudi alizozifanya juu ya kumsaidia Angella
Unahisi kulikuwa na haja ya machawa kumsema @harmonize_tz juu ya hili suala la @anjella_tz