Harmonize "Kama Nikifa Leo Watu Wataniongelea Kama Marehemu Kanumba"


Harmonize anasema acheni kujificha, jitokezeni na mlitaje Jina lake kwenye orodha ya vinara wanaofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa nchini. Kupitia insta story yake leo amejifananisha na marehemu Kanumba, Mwigizaji aliyeacha alama kwenye tasnia ya filamu nchini.

“Hivyo kama nikifa leo, kila mmoja atazungumza kuhusu mimi kama ambavyo wanazungumza kuhusu Kanumba. Nipe heshima yangu. Nataka nione upendo wenu, acha kuficha ficha ukweli, hakuna anayeweza kufanya kwenye uwezo huu.” ameandika @harmonize_tz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad