Hassan Mwakinyo Chali Mabondia 10 Bora Afrika


KWENYE orodha ya mabondia 10 bora wa bara la afrika, kutoka madaraja yote ya uzito (P4P), Taifa la Afrika Kusini limeongoza kwa kutoa mabondia 6.

Wengine ni kutoka taifa la DR Congo, Namibia na Ghana, Huku mabondia wa Tanzania wakiwa hawapo hata 20 bora.

Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:-

1.Ilunga Makabu🇨🇩
2.Thabiso Mchunu🇿🇦
3.Jeremia Nakathila🇳🇦
4.Martin Bakole🇨🇩
5.Richard Commey🇬🇭
6.Thulani Mbenge🇿🇦
7.Azinga Fuzile🇿🇦
8.Jackson Chauke🇿🇦
9.Kevin Lerena🇿🇦
10.Zolani Tete🇿🇦

....
23.Tony Rashid🇹🇿
24.Hassan Mwakinyo🇹🇿
37.Ibrahim Class🇹🇿
85.Juma Choki🇹🇿
86.Twaha Kiduku🇹🇿
208. Mfaume Mfaume🇹🇿

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad