Huruma...Mbosso Akatazwa na Dr Kusafiri na Ndege, Ahairisha Show ya Marekani


Nyota wa muziki wa Bongo Flava kutokea Record Label ya WCB, @mbosso_ amesitisha tour yake nchini Marekani iliyokuwa ifanyike kuanzia November 25 hadi December 16 baada ya daktari wake kumpa ushauri wa kitabibu kuwa Afya yake kwa sasa hairuhusu staa huyo kusafiri ndani ya ndege kwa zaidi ya masaa 8.

Mbosso ametoa taarifa hiyo kupitia sehemu ya Insta Story yake na kuahidi kutangaza tarehe mpya punde tu majibu ya afya yake yatakapo ruhusu staa huyo kula mwewe zaidi ya masaa tajwa hapo juu.

Get well soon #khan

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad