"UNAISHI NA MWANAUME ANAVYOTAKA? VIPI YEYE KUISHI NA WEWE UNAVYOTAKA?
AGIZO LA MUNGU KWA MWANAUME NI KUMPENDA MKE WAKE KAMA KRISTO ALIVYOLIPENDA KANISA!
Unaishije na mwanaume anavyotaka ambae ni msh*nzi mbw* mal*ya kah*ba anakurudia asubuhi au anarudi baada ya siku kadhaa hajali cha ndoa wala nini? Unatoa wapi nguvu za kujishusha na kumtii huyo sh*tani jitu ambalo halina hofu ya Mungu na halifati misingi ya ndoa takatifu?
Mwanaume msh*nzi mbw* mal*ya ana wanawake kila kona alafu mwanamke ataacha kuongea kweli eti kwa sababu wewe ni mke unatakiwa umtii umsujudie kwa kila kitu kisa yeye ni mumeo???? HAPANA… huyo ni sh*tani sio mume….
wanawake amkeni Acheni upumbavu kabisa haya mafundisho ya mila na desturi za kijinga mbaya zimepitwa na wakati kabisa ndo zinawatesa wanawake kila kona ya jamii yetu…
Ebu wanawake tujifunzeni maarifa ya kiMungu Maarifa ya Haki ambayo ni kumweshimu na kumtii mwanaume ambae ana sifa za kuwa mume, ana hofu ya Mungu, anaekupenda kama Kristo alivyolipenda kanisa, Ndoa sio ya mume pekee ni ya watu wawili pande zote haijalishi ni mwanaume au mwanamke wote mnatakiwa kuheshimiana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
narudia tena, aina hii ya mafundisho ndo yanawafanya wanawake maz*zeta na yanadumaza upeo wa wanawake wengi wakishakutana na MASH*TANI ambao wamejipa vyeo vya MUME, wanawatesa kwa kofia ya mumeo unatakiwa uishi nae anavyotaka
matokeo yake mnaumia sana na kuanza kukimbilia kwenye makanisa na waganga kujaribu kutafuta faraja, haya mafundisho ya namna hii ndo yanawafanya wanawake kuvumilia mambo ya kip*mbavu kwenye ndoa zao 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 WANAWAKE AMENI ACHENI HUU UJINGA 🙌🏽🙌🏽🙌🏽