Kajala Afunguka Kitu Anachompendea Harmonize


Muigizaji na Meneja kutoka Label ya Konde Gang, #kajala ameendelea kuzama mazima kwenye mahaba ya #Harmonize ambapo kupitia Insta Story yake ameanika udhaifu wake mwingine kwa mume wake huyo, ambapo amedai jambo kubwa hasa analolipenda kuhusu Harmonize ni mtu ambaye hajawahi kukata tamaa pale anapohitaji jambo lake litimie, huku akimtaka msanii huyo kuendelea na moyo huo huo wa mapambano kwa maana yeye (Kajala) yupo kwaajili ya kuhakikisha hilo linafanikiwa pia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad