Kimenuka...Wakenya Wahoji Cheo cha Mtoto wa Ruto Serikalini


Baadhi ya raia wa Kenya wamehoji nafasi ya Kimadaraka aliyonayo binti mkubwa wa Rais wa Kenya William Ruto ambaye anatajwa kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mawaziri wa Serikali iliyo chini ya baba yake huku akiwa hana cheo chochote serikalini kinachotambulika


Binti huyo ni Charlene Ruto ambapo Wakenya wanauliza ni Nani na ana Cheo gani Serikalini?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad