Web

Kisa Kugombania Mtoto Nandy na Bilnass Wapanga Kupata Watoto Mapacha


Wanandoa Billnass na Nandy bado wanandoto ya kupata watoto mapacha, Kupitia moja ya Komenti alizoziacha Staa wa muziki wa Hiphop @billnass kwenye Post ambayo alishare Mke wake @officialnandy akimuuliza kuwa wanongeze Mtoto mwingine.
#Billnass alijibu kuwa waongeze watoto mapacha kwani amechoka kumgembea mtoto mmoja 😂.

"Sio Mwengine tuongeze Wengine Please ikiwezekana Mapacha ❤️ Nimechoka Kumgombea Huyu Mmoja @officialnandy "- @billnass

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad