Klabu ya RS Berkane imemtimua Kocha Abdelhak Benchikha


Klabu ya RS Berkane imemtimua kocha Abdelhak Benchikha baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.

Berkane imekuwa ikifuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa misimu iliyopita huku ikitwaa kombe hilo mara mbili na ndio Bingwa mtetezi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad