Kocha Makipa Simba, Wenzake Wakamatwa na Dawa za Kulevya


Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) Bw. Gerald Kusaya ametangaza watuhumiwa 9 wakiongozea na Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif pamoja na Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Mwalami Sultan kuhusika kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye jumla ya Kilo 34.89.

#DCEAPress
#CloudsDigitalUpdates
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad