Kombe la Dunia Qatar..Marufuku Pombe, Nyama ya Nguruwe na Mapenzi ya Jinsia Moja na Mapenzi


Qatar wameendelea kukaza kamba kuhusu masharti kuelekea kombe la dunia hilo nchini humo ambapo wamekata bidhaa zozote ikiwemo sex toys, matumizi ya pombe isipokuwa kwa mpangilio maalum, wamezuia pia nyama ya nguruwe na endapo utabeba vyote vitabaki uwanja wa ndege na kwenye vizuizi na havitorudishwa kwako tena.

Licha ya kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, pia wamezuia watu ambao sio wanandoa kufanya mapenzi, endapo utabainika ni miaka saba jela.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad