Kumekucha...Ndege Zagongana Angani Wakati wa Maonesho ya Kijeshi




Ndege hizo mbili zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumbu za Vita ya Pili ya Dunia (WWII), Jimbo la Dallas ambapo baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku Wananchi wakishuhudia

Haijawekwa wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na Bell P-63 Kingcobra lakini taarifa za awali zinadai ni Watu sita

Matukio ya shoo hiyo yamekuwa yakikosolewa kwa miaka kadhaa, kwani mwaka 2011, Watu 11 walifariki eneo la Nevada baada ya ndege kuanguka kwa Watazamaji na Mwaka 2019 ndege ilipata ajali na kuua Watu kadhaa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad