Lukamba Amuangukia Shuu Baada ya ndoa yake na Cecy Kuvunjika


Lukamba amuangukia Shuu aliyekuwa mke mkubwa, ni baada ya ndoa yake na mke mdogo kusambaratika

“Cecy amenifanya nijue upendo wa Shuu mimi ulikuwa wa kweli, Shuu nisamehe sana leo nimeamini hukunipendea jina” - ameiambia Wasafi FM

Baada ya kumuoa Ceccy watatu hao wwlikuwa watu wa kunyukana mitandaoni, mishowe Shuu alidaiwa kuwaacha waendelee alipoishia na kuangalia ustaarabu wake ikiwemo kulea mtoto waliyezaa pamoja. Ila majuzi Ceccy alitangaza kuwa kwasasa yeye sio mke wa Lukamba tena

Lukamba hata kabla ya kuwa maarufu alikuwa na Shuu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad