BAADA ya timu zilizofukuzu kuingia hatua ya makundi michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kujulikana sasa kinachosubiriwa ni upangaji makundi ya michuano hiyo na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika Novemba 16, 2022.
Upangaji makundi hayo utafanyika makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) yaliyopo Cairo, Misri ukianza na michuano ya shirikisho na kisha Ligi ya Mabingwa.
Timu zilizofukuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Novemba 9 ni kama ifuatavyo:
Yanga(Tanzania)
Marumo Gallants(Afrika Kusini)
US Monastir(Tunisia)
Saint Eloi Lupopo(DR Congo)
ASKO Kara(Togo)
Diables Noirs(Congo)
Al Akhdar(Libya)
AS Real Bamako(Mali)
Future(Misri)
ASEC Mimosas(Ivory Coast)
Pyramids(Misri)
TP Mazembe(DR Congo)
USM Alger(Algeria)
Daring Club Motema Pembe(DR Congo)
Rivers United(Nigeria)
FAR Rabat(Morocco)
US Monastir(Tunisia)
Timu zilizofuzu awali kuingia makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ni kama ifuatavyo:
Al Ahly(Egypt)
Al Hilal(Sudan)
Al Merrikh(Sudan)
Atletico Petroleos(Angola)
Coton Sport(Cameroon)
CR Belouizdad(Algeria)
Esperance Tunis(Tunisia)
Horoya(Guinea)
JS Kabylie(Algeria)
Mamelodi Sundowns(South Africa)
Raja CA(Morocco)
Simba SC(Tanzania)
Vipers SC(Uganda)
Wydad AC(Morocco)
Zamalek(Egypt)
AS Vita Club(DR Congo)