Web

Mshambuliaji Erling Haaland ajiunga na klabu ya Ashton United kwa Mkopo

Top Post Ad


Mshambuliaji Erling Haaland amejiunga na klabu ya Ashton United inayoshiriki ligi daraja la 7 England kwa mkataba wa mkopo wa siku 28 akitokea Man City

Haaland amefikia uamuzi huo kwa ajili ya kujiweka fiti kipindi ambacho nyota wengi wameelekea Qatar kwa ajili ya kombe la Dunia

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.