Mwijaku "Natamani Nimchape Kibao Lava Lava Amegeuka Kuwa Tour Guider"



Baada ya Msanii wa WCB Lava Lava kuonekana na Mpenzi Mzungu kila kona DC wa Insta Mwijaku ana Haya ya Kusema:

"Mungu anisamege - Yaaani kuna muda unatamani umfate huyu lava lava kisha umpige KOFI kubwa azindukee.

Mimi nahisi huyu ndio mzukule wa uchafuni haiwezekani mtu unanebepa tuuuuu kuimba huimbi una geuka kua tour guider why why . Achana na wajane fanya kazi lava lava .

Unapata wapi nguvu ya KUNENEPA ..? "

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad