Nani Awajibishwe Kwa Kuchelewesha Msaada na Juhudi za Uokoaji Kutoka Ajali ya Precision Air



Anasema Jana, Novemba 6, 2022, kumetokea ajali ya #PrecisionAir na tulitegemea Vikosi na Zana za Uokoaji vifike kwa haraka, badala yake Wavuvi waliokuwa na Vifaa duni ndio waliotoa msaada

Anahoji: Kwa nini Serikali haikutuma msaada wa haraka ambao ungepunguza angalau madhara kidogo? Kitengo cha Maafa na Majanga kilikuwa wapi hadi watu 19 wanafariki na uwezekano wa kuokolewa ulikuwepo? Nani atawajibika kutokana na Uzembe huu?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad