PICHA : Kuna Maisha Yataendelea Siku Haupo Life is too Short, Ishi Maisha yako


Leo nimekuja kugundua kuwa, haijalishi wewe ni nani kwenye taasisi, haijalishi ni bora kiasi gani ila pale utakapoondoka taasisi haiwezi kusimama, watalia na kuomboleza kisha maisha yataendelea, watu wasahau na kumbukumbu hupotea.


Ndio maana Mimi kwenye maisha yangu nimechagua kuishi kama hii picha, nikiamini no matter how hard you work na ni wapi umefika lakini kuna maisha yataendelea siku haupo, hivyo fanya kwa nafasi yako kisha kaishi maisha yako, life is too short.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad