Rais Samia Suluhu Hassan Aitisha Kikao Cha Dharura Ajali ya Precision Air


Rais Samia Suluhu Hassan ameitisha Kikao na Baraza la Mawaziri, Novemba 14, 2022 kikilenga kujadili Ajali ya #PrecisionAir iliyogharimu Maisha ya Watu 19 Novemba 6, 2022

Kikao hicho kinakuja baada ya Malalamiko na Vilio kutoka kwa Wananchi, wakitaka Serikali iwajibike kwa kukosa Mkakati thabiti wa Uokozi wakati wa Majanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad