Rais Wa Ufaransa Emmanuel Macron Apigwa Kofi La Uso Na Mwanamke. Tukio Hili Linaripotiwa Kutokea Siku Ya Jumapili Novemba 20, 2022.
Hii Si Mara Kwa Kwanz Kwa Rais Huyu Kupigwa Kofi, Kwani Mwaka Jana 2021 Alipokuwa Kusini Mwa Ufaransa Kwenye Ziara Yake Alipigwa Kofi Na Jamaa Aitwyae Damien Tarel