Hayawi hayawi sasa yamekuwa @wolperstylish na @richmitindo wamefunga ndoa takatifu katika kanisa la St Peter’s Mikocheni Dar Es Salaam na kuhudhuriwa na watu wachache ambao ni ndugu.
Wawili hao kwa pamoja waliapa kupendana mpaka kifo kiwatenganishe.