Safari ya Timu ya Simba Quens Yafikia Tamati Club Bingwa, Wachukua Nafasi ya 4


Safari ya Timu ya Simba Quens waliokuwa Wawakilishi pekee wa ukanda wa CECAFA kwenye michuano ya Club Bingwa Afrika upande wa Wanawake inayofanyika Morocco imehitimishwa leo baada ya kufungwa 1-0 na Bayelsa Queen ya Nigeria na kuwafanya waishie nafasi ya nne. 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad