Simba Queens Watinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika




Timu ya @simbaqueensctz imeandika historia kwenye soka la wanawake ngazi ya klabu nchini kwa kufanikiwa kuingia Nusu Faifali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Green Buffaloes

Magoli ya @simbaqueensctz yakifungwa na Asha Djafar dakika ya 64 na Opah Clement 78’

Mchezo wa Nusu Fainali @simbaqueensctz itacheza dhidi ya AS FAR Club kutoka kundi A.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad