Ajali Yaua Watatu na Kujeruhi 18 Mwanza, Gari la Matofali Chanzo

Watu watatu wamepoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari manne katika eneo la Nyakato Sokoni jijini Mwanza 


Ajali hiyo imetokea leo Desemba 1/2022 saa mbili asubuhi ambapo inadaiwa loli hilo lilifeli breki na lilipofika kwenye taa za kuongozea magari katika eneo la Nyakato sokoni ndipo likagonga magari manne na kusababisha ajali hiyo iliyouwa watu watatu huku dereva akikimbia 


Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad