Aliyeiba Mbwa wa Lady Gaga na Kujeruhi Mfanyakazi Miaka 21Jela


Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la James Howard Jackson amehukumiwa Jela miaka 21 baada ya kukutwa na hatia ya kuiba mbwa wa mwanamuziki Lady Gaga kisha kumjeruhi vibaya mfanyakazi anayesimamia mbwa hao

James Howard Jackson na wenzake wawili walitekeleza tukio hilo mnamo February 24,2021

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad