📝 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.
Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambulishwa kwa wachezaji.