Aliyekuwa Mwendesha Mashtaka Kwenye Kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia



Muigizaji maarufu wa Kipindi cha Televisheni cha nchini Kenya “Vioja Mahakamani” Gibson Mbugua amefariki dunia. Marehemu Mbugua alipata umaarufu kwa kuigiza kama Kiongozi wa Mashtaka kwenye kipindi hicho.

Taarifa zinaeleza kwamba Mbugua (56) amefariki dunia leo Alhamis kufuatia kusumbuliwa na maradhi ya Figo ambapo alilazwa hospitali tangu Julai 18 na aliruhusiwa August 3, 2022.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad