Ben Pol Amuwashia Moto Jux Kwa Kumposti Bila Radhaa yake Kuwa Atakuwepo Kwenye Uzinduzi


Staa wa Muziki @iambenpol ametoa Povu kuhusu kitendo cha Msanii mwenzie wa Bongo Fleva, @juma_jux kuchapisha mabango mtandaoni kuwa atakuwepo katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘King of Hearts’ utakaofanyika Desemba 7 mwaka huu, kwa madai hakuna makubaliano yoyote kati yao.
.
.
"Una namba yangu umeshindwa kunipigia au kunitumia ujumbe?, au watu wako kuwasiliana na watu wangu?, tunakuja kuona kwenye mitandao kwamba nitakuwepo kwenye show yako,".

"Wewe ulikasirika kwa Harmonize kukuweka kwenye matangazo ya event yake bila kukutaarifu au kukualika, ukafanya hadi interviews lakini na wewe unafanya kitu kilele. Napenda sapoti lakini hii ni style gani kaka" ameandika Ben Pol kwenye mitandao

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad