Breaking News: Feitoo amejiunga na Azam FC, Awarudishia Hela Yanga na Kusepa
0
December 24, 2022
Feitoo amejiunga na Azam FC akiwa ni mchezaji huru baada ya kutekeleza kifungu kwenye mkataba wake kilichokuwa kinamruhusu kuwa huru iwapo angerejesha Signing on fee pamoja na mshahara wa miezi mitatu,hapo jana Feitoto ali-deposit mzigo wote kwenye account ya @yangasc1935
Tags