Diamond Alitaka Kumfunga Mwijaku Kisa Kujisingizia Nasib Jr, La Mobetto Anakwama Wapi?


Wakati Nasib Jr wa Diamond na Tanasha amezaliwa, Mwijaku alijitoa ufahamu akaanza kutangaza kwamba Mtoto huyo ni wake, kilichofata baada ya Hapo Mwanasheria wa Diamond alimuita Mwijaku, akamwambia kwamba Kama ana uthibitisho huyo mtoto ni wake basi atautoa Mahakamani, ila akishindwa tu basi ataenda Segerea maana wameshindwa kuvumulia suala hilo kwa sababu linamuaibisha Tanasha na Diamond. Mwijaku Baada ya kuona mambo ni mazito ikabidi akili zirudi, akaomba msamaha.

Kama Diamond aliweza kumaliza hii Issue ya Nasib Jr, je anafeli wapi kumaliza Issue ya Dylan? Je anafurahi kuona mtoto huyu kila siku akizushiwa baba mpya?

Sio kwamba Diamond haelewani na Mobetto, tunaona mara kibao Mwanamke huyo anaalikwa kwenye Event za Wasafi, sasa kwanini kwenye Raha wanamualika ila kwenye matatizo wanamtupa? Kuna siri gani hapa?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad