Kupitia Instagram Yake Kwenye Insta Story Msanii Diamond Amepost Kipande Cha Video Kinachotafsiriwa Kama Kumkana Mwanae Dylan.
Kitendo Hicho Kimetafsiriwa Kama Fedheha Kwa Malaika Huyo wa Mungu Ambae Hana Makosa na Ukilinganisha Bado ni Mtoto na Hajui Chochote Kinachoendelea.
Hivyo Basi Kutokana na Kitendo Hicho Watu Mbalimbali Wamemtaka Msanii Diamond Platnumz, Ndugu Zake Wote, na Taifa Kwa Ujumla Kumuomba Radhi Mtoto Huyu Kwasababu Diamond Anajua Kabisa Kipindi Hiki Watu Walivyo Muandama Dylan Kuwa Sio Mtoto Wake Ni Wa Billnas Halafu Leo Eti Anapost Video Inayosema Dylan Sio Mtoto Wake. Ni Aibu Kwa Baba Yani Hata Haiji