Dulla Makabila Aitwa Basata...Afunguka Haya Kuitukia Wito


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa Msanii @dullamakabila Ameandika.............."Nimepokea Barua ya wito kutoka @basata.tanzania ambayo inahusu wimbo wangu mpya wa ‘Pita Huku’ Wito nimeupokea na nitafika @basata.tanzania leo hii Nyie ni Walezi wangu katika shughuli zangu za Sanaa…. Naimani Utakua wito wa Kheri…

Mashabiki zangu Asanteni Kwa kuufanya wimbo wetu wa Pita huku kuwa Trending Number Moja huko Mjini Youtube.. tuendelee kufuatilia kazi nzuri.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad