Edo Kumwembe : GSM wakishauza Magodoro...Wampe Feisal Hela inayoeleweka


GSM wakishauza furniture sijui magodoro....mwishoni mwa msimu wampe Feisal hela inayoeleweka.

“Huwa nawashangaa akina Mpenja wanapomuita Feisal kama 'Zanzibar Finest'....

“Fei kwa sasa ndiye mchezaji bora zaidi wa local eneo la kiungo kwenda mbele hapa kwetu achilia mbali mambo ya Zanzibar...one of the very best....uzuri ndani na nje ya uwanja anakuwa na furaha.... ✍🏼 @edokumwembwe
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad