Gerald Hando Aponzwa na Kauli yake, EFM Radio Watoa Tamka


EFM imesema kuwa kauli ya Mtangazaji Gerald Hando kuwa Serikali inakopakopa sana, si msimamo wa EFM wala TVE bali ni maoni yake binafsi.

Chombo hicho cha habari kimewaomba radhi waliokwazwa na kauli hiyo na kueleza kuwa kimechukua hatua dhidi ya mhusika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad