Hanstone Atoa Shutuma Diamond Platnumz Kumuibia Melody za Wimbo wake


Mwimbaji @thehanstone ameibuka na madai ya kwamba Diamond Platnumz ameiba wimbo wake kwenye kazi yake mpya “CHITAKI” ambayo ameidokeza kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia insta story yake, Hanstone ameanika wazi hilo kwa kuweka kipande cha wimbo wake uitwao “NATETEMEKA” ambapo kwenye file inaonesha aliufanya mwaka 2019. Ni kama madai ya Hanstone yanalenga @diamondplatnumz kuiba melody ya wimbo huo. Una maoni gani? Tuachie comment yako.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad