Harmonize "Sintaenda Show ya Msanii Mwenzangu Bila Kulipa Ticket"

Staa wa Bongo Fleva Tanzania Harmonize ameandika maelezo kuhusu wazo lake la kufanya show na kulipisha kila kichwa bila Mialiko, Harmo anasema....


Harmonize Ameandika

"Wazo Lilianza Nilipo Ona Kuwa Sisi Tuliopo Kwenye Industry Uwongo Dhambi Hali Zetu Sio Mbaya Sana Ila Tukiandaa Show Imekuwa Kawaida Kuitana Kualikana Bure Bure Tunapoenda Viwanjani Kwa Watu Ambao Ni Wazi Kabisa Tunawazidi Kipato Kwakuwa Tuu Wanatupenda Basi Tunatumia Hiv Nafasi Kuwakamua Walipe Hela Kutuona Wakati Wenyewe Kwa Wenyewe Hatu Changiani Haliyakuwa Uwezo Wakulipa Tunao, Nitoe Tuu Shukrani Kwa Wasani Wenzangu Wote Mlio Lipokea Hili Wazo Na Mkanunua Meza Kwajili Ya Show Yangu Kesho Hakika Nyinyi Ni Mfano Wa Kuigwa Kwa Maendeleo Ya Tasnia Hill !iii Niwaahido Tuu Sitoenda Kwenye Show Ya Msani Mwenzangu Yeyote Bila Kununua Tickets Au Meza Naamini Ni Njia Sahihi Ya Kufungua Mlango Mwingine Wa Ridhiki Leo Na Vizazi Vijavyo Tupo Wengi Sanaa Tunapata Ridhiki Alhamdulilah Tukutane Kesho"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad