Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG, Klyian Mbape imeripotiwa kutoka kimapenzi na mwanamitindo aliyebadili jinsi Ines Rau .
In'es Rau alizaliwa Mwanaume, akiwa na miaka 16 alifanya upasuaji ili kubadili jinsi na kuwa Mwanamke.
Rau ni mwanamitindo wa Ufaransa, mwenye asili ya Algeria ambaye, mwaka 2017 alikua mwanamitindo wa kwanza aliyebadili jinsi kuonekana kwenye jalada la Playboy.
Wakati wa Kombe la Dunia, vyombo vya habari nchini Ufaransa viliripoti kuwa Mbape aliambatana na Mwanamitindo huyo.
.