Timu ya Taifa ya Brazil imeondolewa katika michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Croatia katika hatua ya robo fainali kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-2, hiyo ni baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya 1-1 (Neymar 105+1’) (Petkovic 117’)
Neymar Mchezaji tegemeo wa Brazil hakuamini kilichotokea na kuanza kubugujikwa na machozi ilibidi kazi ya ziada ifanyike kumbembeleza