Kampuni ya Netflix imetangaza Kukomesha ule Utaratibu wa Watumiaji Wake Ku-share Password


Kampuni ya Netflix imetangaza kukomesha ule utaratibu wa watumiaji wake Ku-share Password, ambapo mpango huo utaanza mapema mwaka 2023. Kwa mujibu wa taarifa, imeelezwa kuwa katazo hili litaathiri takribani watumiaji milioni 100.


Aidha kufuatia sera hiyo mpya, Kampuni hiyo inatajwa kuwa itaingiza kiasi cha ($721 million) sawa na zaidi ya Trilioni 1.6 za Kitanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad