Kanye West Amuonya Kim Kardashian Kumrudia Mungu Wake


Kanye West kupitia mahojiano yake mapya na #Infowars aliyoyafanya wiki iliyopita, ameuomba Mama watoto wake, Kim Kardashian aweze kurudi kwa Mungu, makampuni anayofanya nayo kazi hayampendi, asiruhusu Shetani amtumie.

Pia Kanye West amemtaka Kim Kardashian kufunga ndoa na Tom Brady ambaye huyu ni mcheza mpira wa Baseball nchini Marekani, na atumie umaarufu, ushawishi alionao kuziunganisha Familia pamoja.

Itakumbukwa, Kanye ametoa maneno hayo kwa Kim ikiwa ni siku chache zimepita tangu kukamilika kwa mchakato wao wa Talaka na kuachana rasmi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad