𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Yanga SC, Mrundi Saido


📝 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Yanga SC, Mrundi Saido Mtibazonkiza kutoka Geita Gold FC.

Ntibazonkiza (35) amesaini mkataba wa kuitumikia Simba SC kwa miaka miwili na nusu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad