Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum
Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie mkataba baina yao huku wakiziandikia mamlaka za soka pia
Fei amerejea kambini rasmi Yanga