Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr amejikuta akitokwa na machozi kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari alipotoa kauli ya kutokuwa na uhakika wa kushiriki tena michuano ya kombe la Dunia hii ni kutokana na umri wake na michuano hiyo kufanyika baada ya miaka minne.
"Sina uhakika kama nitaweza tena kucheza michuano hii mikubwa ya Dunia"- Neymar Jr
Neymar kwa sasa anamiaka 30 , Je atamudu kulinda kiwango chake hadi 2026 ambapo atakuwa na miaka 34 ?