Lemutuz "Kiustaarabu Mkuu Semalenga ni Bora Ungejiuzulu Kupisha Uchunguzi"


BOMA YEE! Nimeshitushwa sana na hizi habari na INANIKUMBUSHA UAMUZI WANGU ambao kila nikiusema huwa MNANIPIGIA MAKELELE uamuzi wa Kukataa Cheo kwa "CHUMA" . .ni kwamba Huyu Mkuu tulikuwa Wote Kamati MAALUM ya CCM YA THINK TANK YA KAMPENI YA UCHAGUZI MWAKA 2015 .Kwenye hiyo Kamati tulikuwa pamoja na Mh. Jerry Muro, Alex Mnyeti, Shaka Hamdu, Kapufi na Wengineo ambao nisingependa kuwataja kutokana na NAFASI ZAO sasa hivi KITAIFA na Bosi wetu alikuwa Balozi Dr. Nchimbi ....tulipomaliza kazi baada ya Uchaguzi wengine wote walipewa Nafasi na kuzikubali ISPOKUWA MIMI NILIKATAA ....now back to the Point ni kwamba HIZI HABARI NI ZA KWELI NA MAMLAKA TAYARI ZIMESHATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI MKUU AMEFANYA HAYA ....Kiustaraabu MKUU NI VYEMA ANGEJIUZULU KUPISHA UCHUNGUZI na pia KUMRAHISISHIA MAMA KAZI I mean the Guy ni ndugu yangu kabisa na NINAJUA JINSI ALIVYOHANGAIKA KUIPATA HIYO NAFASI na ni Ndugu yangu sana LAKINI KWA HILI ametukoasea wote Wananchi wa Tanzania na pia SHERIA LAZIMA ICHUKUE MKONDO WAKE na cha msingi hapa ni kwamba huyu pia alikuwa ni Mteule wa "CHUMA" ...INASIKITISHA sana MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI maana alikuwa na MOYO MWEMA WA KUWASAIDIA VIJANA INGAWA WENGI HAWAKUMUAELEWA! - BOMA YEE!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad